![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgWd97m6MiDcunXzX-YPy5YVR5JcEIDsvgb0xCGorC70CVbCNoepEYEZNTiDf4GL-LtfdZy5vwDZtSoIbdHoa38ReGIBQNhsai0DQpFItHGm6K6duJhouKxLnzyrJhyphenhyphen7s85V7hdHTYhJxx6/s320/MZEE+ANTHON+MATONYA+NA+JOSEPH+PIX+NO+1.JPG)
Joseph Muhomba ambaye ni mlemavu wa miguu akifurahia jambo na Mzee Anthon Matonya ambaye ni ombaomba maarufu hapa nchini wakati akipita eneo la kituo cha mafuta cha Gapco Manispaa ya Morogoro akielekea katika daraja la mto Morogoro kwa ajili ya kuwaomba wasamalia wema ili wampatie pesa za kujikimu na maisha, Mzee Matonya amerejea katika Manispaa hiyo akitokea mkoani Dodoma baada ya mapumziko ambapo aliondoka mwishoni mwa mwaka jana.
Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
0 comments:
Post a Comment