BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

AJALI YA PIKIPIKI NA GARI

Askari wa kikosi cha usalama barabarani mkoa wa Morogoro akishirikiana na wasamalia wema kuinasua pikipiki T 184 BFH iliyopo chini baada ya kugongwa na gari T 158 AJP wakati ilipotokea ajali eneo la mzunguko wa katikati ya Manispaa ya Morogoro.





Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: