BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

MKUTANO WA NNE WA BARAZA LA WAFANYAKAZI.

Mkuu wa mkoa wa Morogoro Issa Machibya kulia akisalimiana na Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikianao wa Kimataifa, Sazi Salula wakati wa ufunguzi wa mkutano wa nne wa baraza la wafanyakazi katika kilichofanyika kwenye Hoteli ya Morogoro mjini hapa.



Mkuu wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano Wizara ya Mambo ya Nje, Assah Mwambene akichukua picha ya mkuu wa mkoa wa Morogoro Issa Machibya (hayupo pichani) wakati wa ufunguzi wa mkutano wa nne wa baraza la wafanyakazi katika kilichofanyika kwenye Hoteli ya Morogoro mjini hapa.



Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

1 comments:

Subi Nukta said...

ndugu Matanda, hongera kwa kuwa na blogu na shukrani sana kwa kuendelea kutupasha habari kaka.
Kazi njema!