BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

KIKUNDI CHA SALAKASI CHA MATAMU HAAYAZEEKI TOKA MWANZA.





Wasanii wa kundi la Matamu Hayazeeki kutoka Jijini Mwanza, Makoye Chareles (27) akiwa amembeba mwenzake, Jefta Enoc (22) mabegani huku akiendesha baiskeli yenye gurudumu moja eneo la stendi kuu ya daladala Manispaa ya Morogoro ambapo michezo hiyo wamekuwa wakitoza wateja wao kwa michezo mbalimbali kiasi cha sh 1,000 hadi sh 1,500.
HAPA ASKARI USALAMA BARABARANI AKINGALIA VIJANA HAO.

NA HAPA AKIMUONYA KUTOFANYA MICHEZO HIYO ENEO LA BARABARA.

CHINI MATAMU HAYAZEEKI, JEFTA ENOCK(22)AKIONYESHA UHODARI WAKE WA KUPIGA PUSHAPU YA MIKONO KIWILIWILI KIKIWA JUU.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: