BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

NAKUPENDA NGOJA NIKUSAIDIE KUBEBA MTOTO.


Katika kile kinachoonyesha kuwa mabadiliko katika jamii hususani wapendanao hapa baba na mama wakiwa zimeanza kuleta mabadiliko katika jamii baba akiwa amembeba mtoto huku mama akiwa amebeba mzigo kichwani na chupa ya chai wakati wakiwa katika matembezi yao ya kawaida katika mtaa wa old Dar es Salaam mjini Morogoro.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: