FILAMU ILIYOMCHUKIZA KIKWETE ILIYOTENGENEZWA PALE MWANZA 2006.
KATIKA HOTUBA YA RAIS JAKAYA KIKWETE MWAKA 2006 WAKATI AKIONGEA NA WAZEE WA MKOA WA MWANZA ALIISHAMBULIA VIKALI FILAMU YA DARWIN'S NIGHTMARE ILIYOTENGENEZWA NA RAIS WA UFARANSA HUBERT SAUPER AMBAPO KIKWETE ALISEMA "FILAMU HIYO IMEJAA UZUSHI NA UONGOZO WENYE LENGO LA KUPAKA MATOPE TZ NA KUHUJUMU BIASHARA YA SAMAKI KATIKA VIWA VICTIRIA UPANDE WA TANZANIA" TEMEBELEA WWW.BUTIAMA.PODOMATIC.COM
0 comments:
Post a Comment