POZI LA MWANAMITINDO WA TZ NOMA.
MWANAMITINDO WA TANZANIA TAUSI LIKOKOLA AKIWA KATIKA POZI LA PICHA KATIKA MOJA YA SHUGHULI ZAKE ZA UANAMITINDO LAKINI TAMADUNI ZA WABONGO POZI KAMA HILI.....MWANAMITINDO HUYO AMESHAWAHI KUFANYA KAZI NA DESIGNERS WAKUBWA KAMA GUCCI, ESCADA, TOMMY HILFIGER, CHRITIAN DIOF NA ISSEY MIYAKE PIA ANAJIHUSHISHA NA SHUGHULI ZA KUSAIDIA KIJAMII.
0 comments:
Post a Comment