TANSEED INTERNATIONAL WAKULIMA MUHIFADHI HIVI MAHINDI YENU.
Bwanashamba wa kampuni ya uzalishaji wa aina mbalimbali za mbegu bora za nafaka yaTanseed International Ltd Morogoro , Stanley Ndali akionyesha namana ya kuihifadhi mahindi kwa muda sambamba na ukaushaji kabla ya kuvuna katika vipando vya kampuni hiyo kwa ajili ya maonyesho ya wakulima kanda ya mashariki katika uwanja wa Mwalimu Julius Nyerere Nanenane inayoanza rasmi agosti 1 mwaka huu mkoani Morogoro.
0 comments:
Post a Comment