NILIPE DENI LANGU.
Kijana mkazi wa Manispaa ya Morogoro kulia (mwenye rasta) akizozana na mwenzake kushoto katika mtaa wa Lumumba akimshinikiza kumlipa kiasi cha sh 10,000 kwa madai ya rasta huyo kuumia wakati akimfukuza baada ya kutokea kwa ugomvi baina ya watu hao hata hivyo kijana huyo alipinga kulipa deni hilo mjini hapa.
0 comments:
Post a Comment