UHABA WA MADAWATI SHULE YA MSINGI MWERE A KATA YA NUNGE MOROGORO MJINI. mtanda blog 7:25 PM Edit Wanafunzi wa darasa la tatu shule ya msingi Mwere A iliyopo katika kata ya Nunge Manispaa ya Morogoro wakiwa wamekaa chini huku wengine wakiwa katika madawati wakati wasomo la hesabu hali ambayo inatokana na uhaba wa madawati shuleni hapo. Share on Facebook Share on Twitter Share on Google Plus About mtanda blog Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari RELATED POSTS
0 comments:
Post a Comment