KIKUNDI CHA KUTUMBUIZA CHA UZAU BABD WAKITUMBUIZA WAGENI WANAOFIKA KATIKA BANDA LA HALMASHAURI YA WILAYA YA LUSHOTO MKOA WA TANGA WAKATI WA MAONYESHO YA WAKULIMA KANDA YA MASHARIKI UWANJA WA MWL JULIUS NYERERE NANENANE YANAYOFANYIKA MKOA WA MOROGORO.
0 comments:
Post a Comment