BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

WATU WAKADIRIWA KUFIKIA BILIONI 7 DUNIA KOTE KATIKA MAKISIO MPAKA OKTOBA 31,2011



Vichanga vikiwa katika wodi ya wazazi ya hospitali ya rufaa ya mkoa wa Morogoro mara baada ya kuzaliwa mkesha wa kuamkia oktioba 31, 2011 ambapo watoto hao wanakadiriwa kuongeza idadi ya watu milioni 44 kwa Tanzania wakati shirika la Umoja wa Mataifa la maendeleo la watu na watoto (UNFPA) linakadilia kufikia watu bilioni 7 duniani kote.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: