MBOGA ZA MAJANI. mtanda blog 4:18 PM Edit MKAZI WA MANISPAA YA MOROGORO AKIWA AMEBEBA BESENI LENYE MBOGA ZA MAJANI KICHWANI HUKU AKIWA NA MTOTO MGONGONI WAKATI AKISAKA WATEJA WA KUWAUZIA MBOGA HIZO AMBAZO ZIMEKUWA ZIKIZIUZWA KATI YA SH 200 HADI SH 500 KWA FUNGU. Share on Facebook Share on Twitter Share on Google Plus About mtanda blog Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari RELATED POSTS
0 comments:
Post a Comment