BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

NDIZI




MKAZI WA MANISPAA YA MOROGORO AKITOA NDIZI KUTOKA KWENYE TENGA NA KUWEKA CHINI KISHA KURUDISHIA KWA AJILI YA KUZIPANGA VIZURI BAADA YA KUNUNUA KWA BEI YA JUMLA KUTOKA KWA WAKULIMA KABLA YA KUSAFIRI KWENDA KUZIUZA KWA BEI YA REJA REJA ENEO LA STENDI KUU YA DALADALA YAENDAYO NJE YA MANISPAA HIYO AMBAPO AKINAMAMA WAMEKUWA WAKIJUHUSISHA NA BIASHARA NDOGO NDOGO ILI KUONGEZA KIPATO KATIKA FAMILIA ZAO MKOANI HAPA.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: