Magari yakipita katika daraja jipya la Mwere mara baada ya kukamilika kwa ujenzi wa daraja hilo katikia mto Morogoro ambalo limesaidia kupunguza msongomano wa magari katika barabara ya Old Dar es Salaam ambapo ujenzi wake umeghalimu kiasi cha sh1.6Bil mkoani hapa.
MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment