Wasamalia wema wakimsaidia kijana aliyejitambulisha kwa jina la, Kamili James (mwenye kofia ya pama kulia) baada ya baiskeli yake iliyosheheni chakula cha mifugo kudondo katika eneo la barabara ya Nkomo wakati akitoka kukata majini ili kuipelekea mifugo yao Kilakala Manispaa ya Morogoro.
MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO
Home / Uncategories / WASAMALIA WEMA WAKIMSAIDI MKATA MAJANI KUSUKUMA BAISKELI BAADA YA KUPATA AJALI MOROGORO.
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment