SEHEMU YA WAANDISHI WA HABARI MKOA WA MOROGORO WAKIWA KWENYE MAANDAMANO IKIWA NI KUADHIMISHA SIKU YA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI DUNIANI INAYOADHIMISHWA MEI 03 KILA MWAKA AMBAYO YALIANZIA KATIKA MZUNGUKO WA POSTA HADHI MZUNGUKO WA SUA KISHA KUPOKELEWA NA KAIMU KATIBU TAWALA OFISI YA MKUU WA MKOA WA MOROGORO NA KUFANYIKA KONGAMANO LIKIJUMUISHA VYUO VINAVYO TOA ELIMU YA UANDISHI WA HABARI MKOANI HAPA.
KAIMU KATIBU TAWALA OFISI YA MKUU WA MKOA WA MOROGORO LAMECK NOAH AKIFAFANUA JAMBO WAKATI WA KONGAMANO BAADA YA KUPOKEA MAANDANO YA WAANDISHI WA HABARI YA KUADHIMISHA SIKU YA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI DUNIANI KATIKA HOTELI YA MOUNT ULUGURU MOROGORO, KULIA NI MKUU WA MKOA MSTAAFU STEVEN MASHISHANGA NA KUSHOTO NI MWENYEKITI WA UMOJA WA WAANDISHI WA HABARI MOROGORO (MOROPC) AZIZ MSUYA.
MWENYEKITI WA UMOJA WA WAANDISHI WA HABARI MOROGORO (MOROPC) AZIZ MSUYA AKITOA MADA WAKATI WA KONGAMANO HILO WA PILI YAKE NI KAIMU KATIBU TAWALA OFISI YA MKUU WA MKOA WA MOROGORO LAMECK NOAH NA MWISHO NI MKUU WA MKOA MSTAAFU STEVEN MASHISHANGA.
SEHEMU YA WANAFUNZI KUTOKA VYUO MBALIMBALI VINAVYOFUNDISHA KOZI YA UANDISHI WA HABARI WAKIFUATILIA KONGAMANO HILO.
BAADHI YA WANAFUNZI HAO WAKICHEZA MUSIKI NDANI YA HOTELI YA ULUGURU KATIKA KILELE HICHO KISHA KUFUATIWA NA KONGAMANO.
JIMAMA HAMIDA SHARIFF MWANDISHI WA GAZETI LA MWANANCHI MOROGORO (MWENYE FULANA NYEUPE) HUKU AKICHUKULIWA PICHA YA LUNINGA NA KUENDELEA KUONYESHA MANJONJO MARA BAADA YA WAANDISHI WA HABARI KUMALIZA MAANDANO SIKU YA UHURU WA VYOMBO VYAA HABARI DUNIANI MOUNT ULUGURU.
WAANDISHI WAKIWA WAMEBEBA BANGO LILILOBEBA JUMBE KATIKA KILE CHA SIKU YA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI DUNIANI LIKISOMEKA ''CHANGAMOTO ZA VYOMBO VYA HABARI KATIKA MAZINGIRA MAPYA" KATIKA BARABARA YA MADARAKA MKOANI HAPA.
0 comments:
Post a Comment