Mratibu wa mradi wa maendeleo ya kilimo Tanzania katika chama cha
wanasheria watetezi wa mazingira (LEAT) Heri Ayubu kushoto akifafanua
jambo wakati wa warsha ya kitaifa ya wadau wa kilimo (MAWASILIANO KWA
UMMA) iliyofanyika katika hoteli ya B-Z mkoani Morogoro,
kulia ni Marcelina Kibena kutoka mtandao wa vikundi vya wakulima
Tanzania Chamwino mkoani hapa.
MWANDISHI wa habari gazeti la Majira mkoa wa Morogoro, Lilian Chuwa kushoto akiwa na washiriki wa warsha ya kitaifa ya wadau wa kilimo (MAWASILIANO KWA
UMMA) wakifuatilia matukio katika warsha hiyo iliyofanyika Hoteli ya B-Z mkoani hapa.
SEHEMU ya washiriki wa warsha ya kitaifa ya wadau wa kilimo (MAWASILIANO KWA
UMMA) wakifuatilia matukio mbalimbali yaliyokuwa yakiendelea wakati wa warsha hiyo.
0 comments:
Post a Comment