ASKARI wa jeshi la wananchi Tanzania (JWTZ) wa mkoani Morogoro wakifanya mazoezi ikiwa ni maandalizi ya maadhimisho ya siku ya mashujaa waliofariki dunia katika vita ya Kagera mwaka 1978 na 1979 ambapo maadhimisho hayo yatafanyika kimkoa katika mnara wa kumbukumbu wa Posta mjini hapa.
ASKARI wa jeshi la wananchi Tanzania (JWTZ) kikosi cha maombolezi wakifanya mazoezi ya namna ya kutoa heshima za mwisho katika maadhimisho hayo katika mnara wa kumbukumbu wa
Posta mjini hapa.
Hapa askari wa kikosi hicho wakiwa katika bunduki mitutu ikiwa imelekezwa juu katika hatua ya mazoezi ya kutoa heshima.
GWARIDE la askari wa jeshi la wananchi Tanzania (JWTZ)
Mkuu wa mkoa wa Morogoro, Joel Bendera kushoto akimsikiliza Mkuu
wa shule ya Mafunzo ya huduma (JWTZ) Pangawe Kanali Harrison Maseba
wakati viongozi hao wakiangalia mazoezi ya vikosi vya ulinzi vya JWTZ, polisi na Magereza katika maandalizi ya kumbukumbu ya siku ya kuwakumbuka mashujaa kulia ni mkuu wa wilaya ya Morogoro Saidi Amanzi.
GWARIDE la askari wa jeshi la polisi kitengo cha FFU
GWARIDE la askari wa jeshi la Magerez.
0 comments:
Post a Comment