BASI lenye namba ya usajili T 140 BGS linalosafirisha abiria kati ya Dar es Salaam, Maundo na wilaya ya Tandahimba mkoa wa Mtwara likiwa limepinduka baada ya kupata ajali kufuatia kuchomoka kwa magurudumu ya mbele na kusababisha abiria mmoja kupoteza maisha na abiria wengine zaidi 10 kujeruhiwa ambapo ajali hiyo ilitokea katika kijiji cha Sinza-Miteja wilaya ya Kilwa mkoani Lindi barabara kuu Dar es Salaam-Lindi.
Picha kwa hisani ya Abdullazi Video-Lindi.
0 comments:
Post a Comment