Pazia la michezo ya Olimpiki lafunguliwa London, Uingereza mtanda blog 7:59 PM Edit Michezo ya Olimpiki imefunguliwa rasmi leo Ijumaa katika uwanja wa kimtaifa wa Olmpic jijini London. Maelfu ya wachezaji pamoja na wageni mashuhuri wakiwemo marais. Tayari wamewasili kushuhudia ufunguzi wa michezo hiyo ambayo ni mikubwa zaidi duniani. Share on Facebook Share on Twitter Share on Google Plus About mtanda blog Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari RELATED POSTS
0 comments:
Post a Comment