Spika
wa Bunge la Tanzania ambaye pia ni mlezi wa Hospitali ya CCBRT Mhe.
Anne Makinda akimkaribisha Rais wa Kamisheni ya Umoja wa Ulaya Mhe. Jose
Manuel Barroso alipowasili Hospitalini hapo leo kujionea shughuli za
Rais Barosso na wenzie wakipata muhtasari wa hospitali hiyo
Wagonjwa waliotibiwa na kupona fistula.
Wakina mama wakiwa na watoto wao walio na matatizo mbalimbali wakiwa Hosp[itali ya CBRT.
Picha: BLOG FETHE KIDEVU.
0 comments:
Post a Comment