Akinamama wachuuzi wa matunda wakiwa na mabeseni yenye maembe na maparachichi wakati wakitembeza katika mitaa mbalimbali ya Manispaa ya Morogoro kusaka wateja wa kununua matunda hayo ili kuweza pesa za kujimu na maisha ya kila siku baada ya kununua bei ya jumla katika soko la Mawenzi wakiwa eneo la stendi kuu la daladala yaendayo nje ya Manispaa hiyo mkoani hapa.
MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment