Watoto wakazi wa Mindu Manispaa ya Morogoro wakishirikiana kupukuchua mahindi nje ya nyumba yao ili kwenda kusaga na kupata unga kwa ajili ya chakula baada ya kazi ya wazazi wao kuvuna katika shambani wakati huu wa msimu wa mavuno mbalimbali wa mazao mkoani hapa.
MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO
Home / Uncategories / WATOTO WAKIPUKUCHUA MAHINDI BAADA YA WAZAZI WAO KUVUNA KATIKA KIJIJI CHA MINDU MANISPAA YA MOROGORO.
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment