Mwasisi wa kutengeza mitego ubunifu ya panya katika Manispaa ya Morogoro, Juma Milinga akimalizia kazi ya kutengeza kati ya mitego hiyo katika kalakana iliyo nje ya nyumba yao maarufu kwa jina la "hukumu ya panya" iliyopo eneo la Mjipya ambapo huuza kati ya sh2,500 hadi sh 3,500 ambapo sifa kuu ya mtego huo panya na ujanja wake akitamani chambo kilichopo ndani yake ni 100% lazima anase na imekuwa ikipata soko siku hadi siku kutokana na nyumba tunazoishi panya hawakosekani.
MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment