HATIMAYE YAMETIMIA KWA YANGA KUTWAA TENA KOMBE LA CECAFA 2012.MSHAMBULIAJI wa klabu ya Azam FC, Kipre Cheche kulia akikokota mpira mbele ya beki wa Yanga, Nidir Haroub
Canavaro wakati wa mchezo wa fainali ya kombe la Kagame ambapo mchezo huo umemalizika kwa Yanga kushinda kwa bao 2-0 na kufanikiwa kutetea kombe la Kagame kwa mara ya pili mfurulizo. Picha kwa hisani ya mjasiliamali.blogspot.com
MSHAMBULIAJI wa klabu ya Yanga Afrika Sport Club Hamis Kiiza akimtoka mlinzi wa Azam Jabir Aziz kushoto wakati wa mchezo wa fainali kuwania kombe la Kagame 2012 katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam ambapo mchezo huo ulimalizika kwa Yanga kuibuka na ushindi wa bao 2-0 mabao yaliyofungwa na washambuliaji Kiiza dakika ya 44 na Said Bahanuz dakika ya 90.
KIKOSI CHA KLABU YA YANGA AFRIKA SPORT CLUB.
KIKOSI CHA KLABU YA AZAM FC
Picha kwa hisani ya Issa Michuzi.Blog.
Picha kwa hisani ya Issa Michuzi.Blog.
0 comments:
Post a Comment