Bw Fredrick Mboya na mkewe Bi Maria Kwaay wakiwa katika nyuso za furaha
mara baada ya kufunga pingu za maisha katika kanisa la katoliki porokia
ya Maria Mtakatifu Modeko kisha kufuatia na sherehe kabambe
iliyowakutanisha ndugu, jamaa na marafiki iliyofanyika katika viwanja
vya Gofu Gymkhana mkoani Morogoro, Bw harusi ni mfanyabiashara wa vifaa
vya ujenzi wakati bibi harusi ni afisa wa jeshi la polisi mkowa wa
Morogoro.
Bw Fredrick Mboya akimvalisha pete mkewe Bi Maria Kwaay
wakati wa ibada ya kufunga ndoa katika kanisa la katoliki porokia ya
Maria Mtakatifu Modeko kisha kufuatia na sherehe kabambe
iliyowakutanisha ndugu, jamaa na marafiki iliyofanyika katika viwanja
vya Gofu Gymkhana mkoani Morogoro, Bw harusi ni mfanyabiashara wa vifaa
vya ujenzi wakati bibi harusi ni afisa wa jeshi la polisi mkowa wa
Morogoro.
Bw Harusi Fredrick Mboya kushoto akimwangalia mkewe Bi Maria Kwaay
akinywa mbege muda mfupi kabla ya kuanza kwa sherehe hizo katika viwanja vya Gofu Gymkhan.
Bw Harusi Fredrick Mboya kushoto mkewe Bi, Maria Kwaay wakiskata lumba wakati wa sherehe yao.
0 comments:
Post a Comment