Wachuuzi wa bidhaa ndogo ndogo katika stendi kuu ya mabasi yaendayo
mikoani ya Msamvu mkoa wa Morogoro wakiwa wamezingira moja ya basi
katika stendi hiyo kwa lengo la kuwauzia abiria bidhaa hizo
ili kuweza kupata pesa za kujikimu na maisha mkoani hapa.
MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO
Home / Uncategories / WACHUUZI WA BIDHAA NDOGO NDOGO WAKIWA WAMEZINGIRA BASI KATIKA STENDI KUU YA MABASI YAENDAYO MIKOANI MSAMVU MOROGORO.
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment