Mfanyakazi wa idara ya usimamizi wanyamapori katika chuo kikuu cha
kilimo cha Sokoine (SUA) Morogoro Johtas Karoli kulia akitoa maelezo kwa
baadhi ya wananchi waliotembelea banda la chuo hicho wakati wa
maonyesho ya kilimo kanda ya mashariki katika uwanja wa Mwl Julius
Nyerere Nane Nane mkoani hapa.
MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO
Home / Uncategories / MAONYESHO YA WAKULIMA KANDA YA MASHARIKI BANDA LA SUA KITENGO CHA IDARA YA USIMAMIZI WANYAMAPORI MOROGORO
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment