Ahmed Bawaziri ambaye ni mmoja wadhamini wa islamic foundation akiojiwa na mtangazaji wa radio na tv iman
Ujuzi wa kuchezea baiskeli |
Mchezo wa kufukuza kuku nao ulikuwepo
kareti hazikokosekana ili mradi kunogesha tamasha hilo katika sikukuu hii ya eid leo
Hawa nao kaonyeshana ufundi wa kufukuzana kwa umbali wa kilometa 7
Mwandishi na mtangaji wa redio na TV Imani Uchuli
Watoto wa madrasa nao wakaja kusherekea pamoja na wenzao
Hao ni watangazaji wa Redio na Tv Imani Jafari Mponda kulia na Kasimu Limo wakiwa katika majukumu yao ya kazi.
1 comments:
Asalam alaykum,Watoto waliokuwa wanacheza na bembea mbona picha zao hamjaweka?
Post a Comment