BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

BREAKING NEWS, LEMA ASHINDA RUFAA.

PICHA ZA MATUKIO YA ALIYEKUWA MBUNGE WA JIMBO LA ARUSHA MJINI GODBLESS LEMA KATIKA HARAKATI ZA CHAMA CHA DEMOKRASI NA MAENDEELEO (CHADEMA).

ALIYEKUWA Mbunge wa Arusha Godbless Lema amerudishiwa ubunge wake baada ya kushinda katika rufaa ya kesi yake ya kupinga matokeo iliyosomwa jijini Dar es Salaam leo.
Kwa habari zaidi endelea kutembelea blog yako ili kuweza kufahamu kinachoendelea juu ya habari na matukio mbalimbali ya rufaa hiyo.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: