BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

KAZI YA JESHI LAZIMA UGANGAMALE:ANGALIA SILAHA ILIVUNJIKA WAKATI WA GWARIDE LA MIAKA 51 YA UHURU.

 
Askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania akiokota moja ya silaha  iliyovunjika wakati kikosi cha Askari awa kutuliza ghasia FFU kilipotoa heshima kwa Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Kikwete  kwenye gwaride la miaka 51 ya uhuru lililofanyika kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam Novemba 9, 2012. Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: