MAFENESI SOKO LA MAWENZI MOROGORO. mtanda blog 6:14 AM Edit Mfanyabiashara wa kuuza matunda katika soko la Mawezi Manispaa ya Morogoro (katikati) akiwashawishi wateja wake kununua mafanesi ambayo alikuwa akiuza kati ya sh 1500 hadi sh 3000 kulingana na ukubwa wake ambapo ni msimu wa matunda hayo mkoani hapa. Share on Facebook Share on Twitter Share on Google Plus About mtanda blog Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari RELATED POSTS
0 comments:
Post a Comment