BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

MCHEZO BAINA YA MANCHESTER UNITED NA MANCHESTER CITY.

MAN CITY   2      MAN UNITED   3
                                        KUTOKA KATIKA MITANDAO YA KIJAMII.
Manchester City v Manchester United - Premier League
 BEKI WA MANCHESTER United , Rio Ferdinand akishangilia ushindi dhidi ya wapinzani wao Manchester City baada ya kumalizika kwa mchezo wa ligi kuu ya Barclays Premier League na kushinda kwa bao 3-2 katika uwanja wa Itihad.
Soccer - Barclays Premier League - Manchester City v Manchester United - Etihad Stadium
 Mchezaji wa Manchester City, Kolo Toure nyuma akiwania mpira dhidi ya Ashley Young Manchester United katika mchezo huo.
Soccer - Barclays Premier League - Manchester City v Manchester United - Etihad Stadium
 Mshambuliaji wa Manchester City, Carlos Tevez mbele akitafuta namna ya kumiliki mpira dhidi ya beki wa Manchester United, Rio Ferdinand.
 Soccer - Barclays Premier League - Manchester City v Manchester United - Etihad Stadium
Mshambulia wa Manchester City, Carlos Tevez akizidiwa ujanja na beki wa Manchester United, Rafael Da Silva.
Soccer - Barclays Premier League - Manchester City v Manchester United - Etihad Stadium
Mchezaji wa Manchester City, Carlos Tevez kulia akiwania mpira dhidi ya Phil Jones wa Manchester United.
Soccer - Barclays Premier League - Manchester City v Manchester United - Etihad StadiumMshambuliaji wa Manchester United, Wayne Rooney chini huku Mchezaji wa Manchester City, Yaya Toure akijiandaa kuondoka na mpira.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: