JK (Kulia) na Katibu wa SADC Tomaz Salomao wakiteta kk Mkutano leo
Rais Jacob Zuma wa Afrika ya Kusini (kush) pamoja na Katibu wa SADC Tomaz Salomao wakielekea katk ukumbi wa mkutano jijini Dar
Rais wa Tanzania Dr, Jakaya Kikwete(kushoto) akiongea na ujumbe wa Tanzania.
JK (katikati)akiongea na Rais wa Msumbiji Armando Guebuza(kushoto) na (kulia) Rais wa Namibia Hifikepunye Pohamba
Picha ya pamoja (JK) akiwa katikati pamojawakuu wa nchi na MARAIS wa nchi za SADC
kwenye ufunguzi wa mkutano wa SADC unaofanyika jijini Dar es salaam Dec 8, 2012. Picha zote na Mwanakombo Jumaa- MAELEZO.
kwenye ufunguzi wa mkutano wa SADC unaofanyika jijini Dar es salaam Dec 8, 2012. Picha zote na Mwanakombo Jumaa- MAELEZO.
0 comments:
Post a Comment