BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

BONDIA MTANZANIA THOMASI MASHALI AMTWANGA BERNAD MACKOLIECHI WA KENYA KWA K.O KUWANIA UBINGWA WA NDONDI AFRIKA MASHARIKI JIJINI DAR ES SALAAM.


Bondia Mtanzania Thomas Mashali kushoto akiwa amemgalagaza bondiaBernad Mackoliech na kwenda chini akimsubili ili amwendelezee kipondo wakati wa mchezo wao wa kugombania ubingwa wa Afrika Mashariki uliofanyika katika ukumbi wa Friends Conner, Manzese jijini Dar es Salaam na Mashali kuibuka na ushindi wa K,O katika raundi ya sita picha nawww.superdboxingcoach.blogspot.com

 Bondia Bernad Mackoliech wa kenya na Mtanzania Thomas Mashali wakioneshana ufundi wa kutupiana makonde wakati wa mchezo wao wa ubingwa wa Afrika Mashariki Mashali alishinda kwa K,O raundi ya sita 


Refarii Mark Hatia akimwesabia Bondia Bernad Mackoliech huku akimuamuluThomas Mashalikwenda katika kona nyeupe baada ya kumtwanga konde zito lililomsababisha kulamba sakafu wakati wa mpambano wao wa ubingwa wa Afrika Mashariki picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: