Moto ukiwa unawaka baada ya waendesha pikipiki maarufu kama (Bodaboda) kuweka vizuwizi katika barabara ya kutoka mjini kwenda Msamvu eneo la Masika Manispaa ya Morogoro wakipinga vitendo vya wafanyakazi wa mamlaka ya mapato (TRA) kuwakamata waendesha pikipiki hao bila utaratibu ikiwemo na madai ya kuwavamia wakati pikipiki zikiwa katika mwendo jambo ambalo hudai kuwa limekuwa likisababisha ajali na hasara baada ya chombo kudondoka chini, tukio lililotokea majira ya saa 6 mchana leo.
kwa habari na picha zaidi la tukio hilo endelea kujiunga nasi katika WWW.JUMAMTANDA.BLOG.....
0 comments:
Post a Comment