BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

TASWIRA YA KUPOROMOKA KWA JENGO LA GHOROFA 15, 20 WAFARIKI DUNIA KATIKA TUKIO HILO LILILOTOKEA JANA JIJINI DAR ES SALAAM

Pichani ni baadhi ya watoto waliofariki dunia katika tukio 

hilo.



DAR ES SALAAM.
WAKATI zoezi la kutafuta miili ya watu waliofunikwa kwenye kifusi, jengo iliyoanguka jijini Dar es Salaam ikiendelea, idadi ya miili ywa watu waliopolowa kwenye zoezi hilo ni 20.

mpaka sasa maiti 20 zimeshapatikana, huku waokoaji wakiendelea na zoezi la kutafuta miili mingine.

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadik maesema kuwa miili ya watu 17 ilipatikana jana usiku, na kwamba kazi bado inaendeleo.

Mpaka jana saa 2:00 usiku watu 19 waliokolewa na kukimbizwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili kwa matibabu zaidi.
Uchunguzi wa awali unaonyesha kwamba jengo hilo lilikuwa likijengwa chini ya kiwango.

Jengo hilo la gorofa 15  ilikuwa ikijengwa katika mtaa wa  Indira Gandhi na Barabara ya Morogoro jijini Dar es Salaam.

Watu zaidi ya 60 wanaohofiwa kufunikwa na kifusi katika jengo hilo.

Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: