Bondia Fadili Majia (katikati) akiwa na kombe la ubingwa wa taifa wa ngumi alilolipata nchini Indonesia wiki iliyopita baada ya kumchapa bondia Heri Amol, Pichani akiwa na wadau wa ngumi alipokuwa akipokelewa jijini Dar es Salaam jana. Kutoka (kushoto) ni Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajab Mhamila, Japhet Kaseba, Kanda Kabongo na Pendo Njau. |
Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kushoto akifuraia na bondia pendo Njau baada ya kumpokea bondia Fadhili Majiha katikati.Picha za Super D. |
0 comments:
Post a Comment