Tulikupenda lakini Mungu amekupenda zaidi
R.I.P..........KIDUDE BINTI BARAKA
Jeneza la bibi likielekea msikiti kwa ajili ya kusaliwa
Mtangazaji Hassan Bond, Fid Q, Diamond Platnumz na Ruge
Mutahaba wakiwa msibani nyumbani kwamarehemu bi
Kidude, Zanzibar
Msanii
Fid Q, Baraka cousin ya Marehemu Bi Kidude na
Hassan Bond Mussa (FID Q
ndo alikuwa msanii wa kwanza
mkubwa kufika msibani kwa bibi)
Ruge mutahaba, Babu Tale and Guru. .......msibani kwa Bi
Kidude
Guru G na Mh Bhaa mazikoni
Hassan na Fid Q wakiwa katika picha ya pamoja na familia ya
Marehemu Bi Kidude
Sehemu ya umati wa Watu waliofika msibani
0 comments:
Post a Comment