Kwa ufupi
arabara hizo ni pamoja na za eneo la Mponda lililopo katikati ya Charambe na Nzasa ambayo kwa sasa haipitiki.
DAR ES SALAAM.
CHADEMA Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Temeke kimeanza rasmi kukarabati barabara kadhaa za mitaani zilizopo katika maeneo mbalimbali ya wilaya hiyo, huku kikieleza kuwa hatua hiyo imetokana na madai ya muda mrefu ya wakazi wa eneo hilo.
Barabara hizo ni pamoja na za eneo la Mponda lililopo katikati ya Charambe na Nzasa ambayo kwa sasa haipitiki.
Barabara hiyo ni kiunganishi kikubwa cha wakazi wa eneo hilo na wale wa maeneo ya Charambe, Nzasa, Rangi Tatu, Machinjioni na Kongowe wilayani Temeke. (Kalunde Jamal)

0 comments:
Post a Comment