BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

TASWIRA YA UVUNJA WA SHERIA ZA USALAMA BARABARA BODABODA WA MATOMBO MOROGORO.

 Mwendesha pikipiki maarufu kama bodaboda katika mji mdogo wa Matombo wilaya ya Morogoro Vijijini akiwa amepakia abiria zaidi ya mmoja ikiwa ni moja ya uvunja wa sheria za usalama barabarani ambapo elimu ya usalama barabarani inapaswa kutolewa kwenye ngazi ya kaya ili walenga hao kupata elimu stahiki tofauti na hivi jukumu hilo limeachiwa na jeshi la Polisi kitengo cha usalama barabarani. Picha JUMAMTANDA.BLOGSPOT.COM




Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: