Ommy
Dimpoz kwa mara nyingine ameamua kupaaza sauti yake na
kuwaomba watanzania wamsamehe kwa kauli zake mbaya kuhusu
marehemu Ngwea....
Sambamba na msamaha huo,Ommy anadai kuwa amejifunza kutokana na kosa lake na kwamba hatarudia tena...
Uamuzi wa kuomba msamaha kwa mara ya pili umekuja baada ya msanii huyu kupigwa mawe mjini Dodoma hivi juzi
Hii ni kauli yake kupitia ukurasa wake wa facebook:
About mtanda blog
Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
0 comments:
Post a Comment