Kupitia website yaye Platnumz ameweka picha za mapokezi yake na Wasafi jana jioni walipowasili Comoro
Dimond
Platnumz na crew yake ya Wasafi wamewasili nchini Comoro jana jioni
tayari kwa makam uzi ya show itakayofanyika leo Jumamosi.
Diamond Platnumz akifanyiwa mahojiano na kituo cha TV cha Comoro
0 comments:
Post a Comment