Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Morogoro mjini, Fikiri Juma kulia akitoa zawadi ya fedha kwa mwanafunzi wa kidato cha tatu shule ya sekondari ya kata ya Sabasaba ya Tushikamane Manispaa ya Morogoro, Peter Kilave (18) aliyeshinda nafasi ya kwanza katika shindano la uandishi wa insha katika shindano la kumsaka mwandishi bora uandishi wa insha wa jumuiya ya afrika mashariki na fainali kufanyika nchini Uganda hivi karibu wakati wa mkutano wa hadhala utekelezaji wa ilani ya CCM ya mwaka 2010 ya kata ya Sabasaba na kumpongeza mshindi huo uliofanyika uwanja wa Fire Morogoro. nyuma yao kutoka kulia ni Diwani wa kata ya Sabasaba, Mohamed Lukweli na kushoto ni mwenyekiti wa chama hicho katika kata hiyo, Mudhihil Shoo.PICHA/MTANDA BLOG.
MWENYEKITI WA CCM WILAYA YA MANISPAA YA MOROGORO AMALIZA ZIARA YA KUKAGUA UTEKELEZAJI WA ILANI YA CCM YA MWAKA 2013 KATIKA KATA NA KUMPONGEZA MSHINDI WA KWANZA WA UANDISHI WA INSHA ALIYESHINDA SHINDANO LA MWANDISHI BORA WA INSHA LA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI ALIYETOKEA SEKONDARI YA KATA MOROGORO.
Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Morogoro mjini, Fikiri Juma kulia akitoa zawadi ya fedha kwa mwanafunzi wa kidato cha tatu shule ya sekondari ya kata ya Sabasaba ya Tushikamane Manispaa ya Morogoro, Peter Kilave (18) aliyeshinda nafasi ya kwanza katika shindano la uandishi wa insha katika shindano la kumsaka mwandishi bora uandishi wa insha wa jumuiya ya afrika mashariki na fainali kufanyika nchini Uganda hivi karibu wakati wa mkutano wa hadhala utekelezaji wa ilani ya CCM ya mwaka 2010 ya kata ya Sabasaba na kumpongeza mshindi huo uliofanyika uwanja wa Fire Morogoro. nyuma yao kutoka kulia ni Diwani wa kata ya Sabasaba, Mohamed Lukweli na kushoto ni mwenyekiti wa chama hicho katika kata hiyo, Mudhihil Shoo.PICHA/MTANDA BLOG.
0 comments:
Post a Comment