Home / Uncategories / TASWIRA YA ASKARI WA USALAMA BARABARANI AKITOA MSAADA KUINASUA GARI ILIYOINGIA KATIKA MTARO NA KUKWAMA ENEO LA MIKESE BARABARA KUU DAR ES SALAAM-MOROGORO.
TASWIRA YA ASKARI WA USALAMA BARABARANI AKITOA MSAADA KUINASUA GARI ILIYOINGIA KATIKA MTARO NA KUKWAMA ENEO LA MIKESE BARABARA KUU DAR ES SALAAM-MOROGORO.
Askari wa usalama barabarani mkoa wa Morogoro Ally Haji akisaidiana na wasamalia wema kuinasua gari ndogo iliyokuwa imeingia katika mtaro na kukwama eneo la Mikese katika barabara kuu ya Dar es Salaam-Morogoro, Picha nyingine ni namna matukio yaliyojitokeza katika tukio hilo.PICHA/MTANDA BLOG.
0 comments:
Post a Comment