BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

TAARIFA MPYA !!!!. TASNIA YA MUZIKI WA INJILI WAPATA PIGO NI BAADA YA KUONDOKEWA NA MSANII WA KIKE KUFARIKI DUNIA HOSPITALI YA TEMEKE DAR ES SALAAM.


Zikiwa ni takribani wiki tatu tangu tasnia ya muziki wa injili nchini kumpoteza mmoja wa waimbaji wake marehemu mchungaji Debora Saidi, taarifa za kifo cha mwimbaji muziki wa injili Orida Njole zinaeleza kuwa amefariki dunia mchana wa leo katika hospitali ya Temeke jijini Dar es salaam alikokuwa akipatiwa matibabu.

Orida ambaye mpaka umauti unamfika julai 13 mwaka huu ilikuwa bado haijajulikana nini hasa kinamsumbua lakini alikuwa ameishiwa damu sana, mpaka umauti unamkuta alikuwa anatamba na album yake iitwayo 'Duniani tu wapitaji'. 


Bwana alitoa na Bwana ametwaa jina la Bwana libarikiwe!
 
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: