BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

KATIKA HILO MSANII WA MAREKANI RICK ROSS NAMPONGEZA NA INAFAA KUIGA MFANO WAKE.


Boss wa MMG Rick Ross yuko kwenye programu ya kupunguza mwili, na picha zake mpya alizoshare Instagram hivi karibuni zimeonesha mabadiliko makubwa ya mwili wake tofauti na alivyozoeleka. Kwa mujibu wa ripoti Rozay amefanikiwa kupungua zaidi ya Kg 45.


April mwaka huu rapper huyo aliiambia 93.9 WKYS FM kuwa muda umefika wa yeye kupungua mwili kidogo japo hana idadi kamili ya uzito anaota kufikia. 


“It was just time for me to tighten up a little bit, you know what I’m saying. As far as, you know, me working out…I have no destination, no specific weight.” Alisema

Muonekano wa Rozay kabla hajapungua.

 
“And also, you know, I’ve been doing this Cross Fit thing, you know, shout-out to Reebok, we had started doing that, you know, last year, sometime and you know, it’s just catching up a little bit.”Aliongeza.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: