WANAJESHI WA CHINA NA TANZANIA WAFANYA MAZOEZI YA PAMOJA YA KIJESHI "SURPASSING 2014" KIGAMBONI TZ.
Wanajeshi wa Tanzania wakifanya mazoezi
MAZOEZI :Tunaweza haya mambo.
Mkuu wa operesheni na utendaji kivita wa JWTZ, Meja Jenerali James Mwakibolwa, (Wapili kulia), akitazama silaha ya kivita, wakati wa maonyesho ya zana za kijeshi na uzinduzi wa mazoezi ya pamoja kati ya majeshi ya wanamaji kutoka China na Tanzania yaliyopewa jina la "Surpassing 2014" kwenye kamandi kuu ya wanamaji wa JWTZ, Kigamboni jijini Dar es Salaam leo.
Silaha.
0 comments:
Post a Comment