
Wapo ombaomba orijino na wanasitahili kupatiwa msaada kutokana na matatizo yao ya kiafya lakini wapo ombaomba ambao hawastahili kabisa kupewa msaada kutokana na kuwa na uwezo wa kusaka pesa.
Hii video utaweza kuona ujanja unaotumiwa na watu wanaojifananisha na ombaomba orijino ili kupatiwa msaada lakini kilichotokea katika video hii ni kuumbuliwa kwa ombaomba feki baada ya kuwekewa mjusi katika bakuli lake la kuhifadhia pesa kutoka kwa wasamalia wema.
0 comments:
Post a Comment